Friday, 22 August 2014

KARIBU CLUB THE HOPE

Karibu kujiunga na club ya afya na kutimiza malengo ambayo umejipangia maishani...kama ikiwa wewe ni mnene au mwenye uzito uliozidi ama una ndugu ana tatizo kama na haishi kwa furaha na amani na kufikia hatua ya kujutia basi hapa ni mahali sahihi pa wewe ama ndugu yako kupata tumaini jipya la maisha.
Karibu tujifunze wote na kuelimisha juu jamii juu ya maswala haya.
Kujiunga na club yetu ni bure kabisa hakuna kiingilio.
Tupigie au kututumia ujumbe wa email
#ClubthehopeMembers

No comments:

Post a Comment