Tuesday, 22 July 2014
DONDOO
Ili uweze kuishi vizuri na maisha yenye furaha na kutimiza malengo yako lazima uwe na afya njema. Kuna magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama vile Kisukari, Kansa, Shinikizo la damu, Magonjwa ya figo n.k ambayo yanawaathiri watu kwa kiasi kikubwa na bila kutambua dalili na mienendo ya magonjwa ya hayo. Watu wengi hujikuta wamefikia hatua mbaya sana kwakuwa hawana kawaida ya kuangalia afya zao. SADELINE HEALTH CARE TRUST kwa kushirikiana na Wizara ya Afya imejitolea kutoa Elimu kwa jamii ili kuishi kwa afya kwa kuwapatia ushauri wa kitaalamu na lishe boraa. Kwa Maelezo zaidi usisite kutupigia simu kwa Ushauri na Maelekezo Mbalimbali piga namba 0653 883542.Tafadhali like na share kwa Ndugu na Marafiki kama unajali afya zao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment