UJUE UGONJWA WA KISUKARI
Kisukari (jina la kitaalamu: diabetes mellitus) ni ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya "glucose" katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili wa kukubali insulini.
Dalili za kisukari ni
- kukojoa kupitia kiasi cha kawaida
- kiuu kikubwa
- kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa kipofu
- kuchoka haraka
- vidonda vinavyopoa polepole mno hasa kwenye miguu hadi kupotea viungo
No comments:
Post a Comment